Ibraah – Tunapendeza ft. Harmonize
SONG & LYRICS of “Tunapendeza” by Ibraah featuring Harmonize. Ibraah & Harmonize team up for the release of this melodious Amapiano track title, ‘TUNAPENDEZA’. Ibrahim Abdallah Nampunga popularly known as Ibraah is a Tanzanian fast-rising songwriter and singer. Currently, he is signed under the Konde Music Worldwide Label. The Konde Music Worldwide Label is owned […] The post Ibraah – Tunapendeza ft. Harmonize appeared first on tooXclusive.
SONG & LYRICS of “Tunapendeza” by Ibraah featuring Harmonize.
Ibraah & Harmonize team up for the release of this melodious Amapiano track title, ‘TUNAPENDEZA’.
Ibrahim Abdallah Nampunga popularly known as Ibraah is a Tanzanian fast-rising songwriter and singer. Currently, he is signed under the Konde Music Worldwide Label. The Konde Music Worldwide Label is owned by Harmonize.
TUNAPENDEZA LYRICS
Kama mapenzi yangekuwa nyumba we mchanga mi tofali
Waseme umenufanyia ndumba mie hata sijali
Nsipokupenda wewe ntampenda nani
Yaani kama nsipokupenda wewe ntampenda nani
Mjeshi kamanda nna nyota ila kwenye mapenzi nasota
Usiku nikilala nakuota, nakuota wewe hapo
Mjeshi kamanda nna nyota ila kwenye mapenzi nasota
Usiku nikilala nakuota, nakuota wewe hapo
Pancha mi moyo wangu pancha, bila wewe siwezi tembea
siwezi tembea
Usije ukaniacha baby ukaniacha wanafika watanizomea,
watanizomea
Mimi na wewe tu Tunapendeza Tunapendeza
Mimi na wewe tu Tunapendeza Tunapendeza
My baby uuuuh Tunapendeza Tunapendeza
Niambie Youuu Tunapendeza Tunapendeza
Na ukiwa mbali nakumiss upweke si jambo rahisi jichunge wa nakuona ibilisi
Tunavyogombana kesho tukapatana kipimo tosha
tunapimana kiasi gani tunapendana
Tunavyogombana kesho tukapatana kipimo tosha
tunapimana kiasi gani tunapendana
You are you are, you are the one I’m going to marry
uwe wa halali uwe wangu tu
Pancha mi moyo wangu pancha bila wewe siwezi tembea,
siwezi tembea
Usije ukaniacha baby ukaniacha wanafika watanizomea,
watanizomea
Mimi na wewe tu Tunapendeza Tunapendeza
Mimi na wewe tu Tunapendeza Tunapendeza
My baby uuuuh Tunapendeza Tunapendeza
Niambie Youuu Tunapendeza Tunapendeza
LISTEN & ENJOY!!!
The post Ibraah – Tunapendeza ft. Harmonize appeared first on tooXclusive.
What's Your Reaction?






